Featured Posts

Sunday, April 13, 2014

UCHAFU WA VIGODORO VYA USIKU HUU HAPA. NI SHIDAAAA

Jamani hii inatia hadi kinyaaaa.....Hivi Kweli Watanzania tumefikia Kiasi Hichi ...Nilikuwa sijawahi ona Video za Vigodoro nilikuwa nasikia tu juu kwa juu ila hii Video Imenionesha nini Huwa kinafanyika huko kwenye Vigodoro....Serekali Hamjaliona hili ? Mbona Sijasikia Ikipigwa marufuku ..Hii ni sawa na Wale wacheza Uchi wa kwenye Clubs Kule Ulaya...
Bofya Hapa <<UCHAFU WA VIGODORO >>kujionea ...Na utoe Maoni yako


TUMEAMIA HUKU