Featured Posts

Saturday, April 12, 2014

MOROGORO NAPO HALI YA MAFURIKO ILIKUWA HIVI JANA

Hapa ni Morogoro maneneo ya Mafisa. Yaani hii
kitu si mchezo jamani ni janga la taifa zima.
Tuungunae kwa pamoja kuwaombea na
kuwasaidia pale tunapo weza ndugu zetu
waliathirika na mvua hizi. Mungu awafanyie
wepesi na poleni sana.

TUMEAMIA HUKU