Featured Posts

Monday, April 14, 2014

AJALI MBAYA ENEO LA LUGALO JIJINI DAR

AJALI hii imetokea leo asubuhi baada ya magari
kusimamishwa ghafla eneo la Lugalo, Makongo ili
kuruhusu wanafunzi wavuke ndipo lori
liliposhindwa kusimama na kuparamia kingo za
barabarani kisha kuiangukia gari dogo aina ya
Toyota Cresta 'GX 100'.

TUMEAMIA HUKU