Featured Posts

Tuesday, April 15, 2014

MAHARUSI WAFUNGA NDOA WAKIWA UCHI WA MNYAMA, VIONGOZI WA DINI WASIMAMIA IBADA HIYO, WAPIGA PICHA WANOGEWA

Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya
firauni, hapa bongoland na sehemu nyingi
duniani kwa ujumla maharusi mara
nyingihujipangia mavazi yao kwa ajili ya siku
ya harusi yao huku wakitumia gharama
nyingi kununulia nguo hizo kama mashela
ya gharama na suti za maana na kali.
Lakini huko New zealand hayo yote
hayaitajiki kwan maharusi hufunga ndoa
wakiwa watupu kabisa!!Hawa wanajiita
Lowes’ Unclad wedding wakidai wanaonesha
uhalisia katika nyanja hiyo.

TUMEAMIA HUKU