Featured Posts

Saturday, April 12, 2014

KAJALA AONYESHA JEURI YA PESA KWA WANA BONGO MOVIES..!! SOMA HAPA


 MSANII wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni alionesha jeuri ya magari baada ya kutinga nayo mawili kwa nyakati tofauti kwenye kumbukumbu ya miaka miwili ya marehemu Steven Kanumba.
Muonekano wa ndani wa gari aina ya Toyota Bravis anayomiliki Kajala. Awali kwenye ibada ya kumuombea marehemu, Kajala alifika kwenye kanisa moja lililopo Kimara Temboni akiwa ‘anadraivu’ gari aina ya Toyota Harrier nyeusi na kuzua gumzo eneo
Kajala Masanja. Baadaye msafara ulipohamia Makaburi ya Kinondoni alipozikwa Kanumba, alitinga na gari lingine aina ya Toyota Brevis lile ambalo ilidaiwa kuwa alinunuliwa na yule kigogo wa shosti wake, Wema Sepetu anayejulikana kwa jina la CK. Jeuri hiyo iliwafanya wengi kubaki na vingi viulizo na Ijumaa lilipojaribu kumdadisi hakutoa ushirikiano na hata alipopigiwa simu baadaye hakupatikana hewani

TUMEAMIA HUKU