Featured Posts

Sunday, April 20, 2014

NICK MINAJ APOST PICHA INAYOONYESHA KUMKIRI YESU KWA MOYO WAKE WOTE

katika hali ya kushangaza ambayo wengi wameshutuka ni baada ya msanii wa kike wa hip hop Nicki minaji kupost picha instagram yenyekuonyesha Kuwa na imani katika yesu. msanii huyo ambaye Amekua akiongoza kwa kukaaa uchi kwenye video amwwashutua wengi kwa post hyo

TUMEAMIA HUKU