Featured Posts

Tuesday, April 15, 2014

TASWIRA YA MAUAJI YA KIMBARI NCHINI RWANDA MWAKA 1994

Hii ndiyo taswira iliyokumba Rwanda mwaka 1994
ambapo wahutu waliwaua
watutsi na wahutu wenzao wenye msimamo wa
kadri. Majeshi ya Umoja wa
mataifa hata hivyo yalifanikiwa kuwaokoa maelfu
katika mjini Kigali.

TUMEAMIA HUKU