Featured Posts

Monday, April 14, 2014

JUX AFANYE VIDEO YAKE MPYA CHINI AKIWA NA JACK CLIFF

Kuna Habari zinazozagaa kuwa Video Mpya ya
Jux ya wimbo Nitasubiri amefanya na Jack Cliff
Ambae ilisemekana yupo Jela huko Macau
Chini....Habari hizi zimekuja baada ya Jux Kupost
picha ya Mrembo kwenye hiyo Video Bila
Kumuonesha Sura......Je Tutegemee Suprise ya
Nguvu ama?

TUMEAMIA HUKU