Featured Posts

Sunday, April 13, 2014

AJALI YA HELKOPTA..MAGUFULI, BILAL, KOVA NA MKUU WA MKOA WA DAR WANUSURIKA

Katika kukagua uharibifu wa miundombinu
uliosababishwa na mvua kubwa katika Jiji la Dsm,
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal,
Dk.John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Meck
Sadiki na Afande Kova wamenusurika ajali ya
helikopita iliyotokea leo Jijini Dsm.
Jamani tumuombe mwenyezi Mungu awalinde
hawa viongozi wetu wapendwa waliokuwa katika
kuwatumikia watanzania. Natoa baadhi ya picha
za helikopita hiyo ikizimwa moto:
walio nusurika ni
1. Makamu wa Rais, Dr. Bilal
2. Mkuu wa mkoa wa Dar, Sadik
3. Mkuu wa polisi Kanda Maalum, Kova
Wamepata majeraha kidogo walikuwa wakikaguwa
athari za mvua jijini

TUMEAMIA HUKU