Featured Posts

Sunday, April 13, 2014

DARAJA LA BAGAMOYO BUNJU SI LA LEO WALA KESHO-LAZIDI KUBOMOKA..JITIHADA ZA KUWEKA MAWE ZAENDELEA

Muda huu Nipo hapa Daraja Linalotengenisha
Bagamoyo na Dar Hali niliyoikuta jana na leo ni
tofauti naona shimo limezidi kuwa kubwa Japo
Bado jitihada za kuweka Mawe na Mchanga
zinaendelea ila kwa jinsi navyo Ona si la Leo wala
Kesho ....Najiuliza Kwanini Wanajeshi Wasije
kufanya kazi hapa na Kuweka Angalau Daraja la
Muda ili Angalau hata Watu tu Wapite kwa Miguu
wakati kazi Inaendelea ...Kwani Kwa sasa ili
Kwenda Bagamoyo au kuja Dar Lazima Upitie
Kibaha ama Chalinze na nina Imani watu wengi
hawawezi kumudu hiyo Nauli

TUMEAMIA HUKU