Featured Posts

Tuesday, April 22, 2014

MUIGIZAJI NYOTA WA TAMTHILIYA YA SHAMELESS, EMMY ROSSUM AJIACHIA UCHI KATIKA JARIDA LA ESQUIRE

 




Huyu ni nyota wa tamthilia inayotamba kwa sasa iitwayo Shameless, anaitwa Emmy Rossum, hakika hakuwa akijali chochote zaidi ya kuondoa aibu wakati wa kupiga picha hizi ambazo ni maalum kwa ajili ya jarida la Marekani liitwalo Esquire.

Add caption

Bila wasi wala shaka, muigizaji huyu wa kike mwenye umri wa miaka 27 alipiga picha hizi za toleo la mwezi January 2014 la jarida hilo lenye kuhusu mitindo ya maisha.
 

Angalia picha zaidi hapo chini..



Ads by OnlineBrowserAdvertisingAd Options


TUMEAMIA HUKU