Featured Posts

Sunday, April 20, 2014

IRENE UWOYA: NITAPAMBANA NA SHIGONGO MPAKA DAKIKA YA MWISHO, NITASEMA KILA KITU NA CHANZO CHA YEYE KUNICHUKIA! -

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya ameendelea
kumshutumu mkurugenzi wa Global Publishers
Erick Shigongo kwa kumchafua na kuahidi siku
moja kuongea na kuweka wazi na ushahidi kila
kitu kati yake na Shigongo.
Kupitia akaunti yake ya Instagram
@irenewaferegola8, uwoya ameandika:
“Ipo siku ntaongea ukweli kuhusu shigongo na
ushaid pia ntatoa…usilo lijua nikama usiku wagiza
ndomana atawadanganya wasio na akili na wasio
mjua….ntapgana nae mpaka tone la mwisho la
damu yangu ntasema kila kitu kwanin
ananichukia…na ntaweka kila kitu waz….den
wenye akili watajua naongea nin…simuogop
atakama atanichafua kiasi gan…hizo kwangu ni
matone yamvua bado mvua yenyewe…I don care
kwaatakae muamin but mwisho wa siku ukweli
utaonekana na atataman ardhi ipasuke……mim
irene uwoya sijashawishiwa na mtu wala
kulazimishwa nahaaidi ya kwamba ntaongea kila
kitu btwn me n him….eeh mwenyez ? MUNGU
nisaidie. “
Shutuma hizi zimekuja baada ya gazeti la Risasi
linalomilikiwa na Global Publishers katika ukurasa
wake wa mbele Jumamosi iliyopita kuandika
habari yenye kichwa cha habari ‘UWOYA MBARONI
KWA WIZI WA SIMU’, na baadaye Irene alipost
Instagram picha ya gazeti hilo na kuandika:
“Minimti wenye matunda milele siogop kupigwa
mawe…shigongo kamua kunichafua coz nakes nae
mahakaman…anadhan ntaiacha never yeye aponde
anavyoweza ila mwisho wasiku sheria iatafata
mkondo wake….minayake mengi nayajua ila ngoja
ninyamaze nisimwagiwe tindikali”

TUMEAMIA HUKU