Featured Posts

Thursday, April 17, 2014

BABY MADAHA"WACHA NITENGENEZE CHAPAA KUOLEWA LABDA 2030"

Na Nyemo Chilongani
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha
amesema hana papara na suala la ndoa kwani
amejipanga kutimiza tendo hilo mwaka 2030.
Akizungumza na paparazi wetu, Baby alisema
anachoomba ni uzima kwani suala la ndoa
analiona halina umuhimu kwa sasa kwani ni
kipindi cha yeye kusaka fedha kwa hali na mali.
“Sina haraka bwana, maisha haya yanahitaji
kuyatengeneza, najipanga Mungu akipenda labda
kwenye 2030 huko ndiyo nitafunga ndoa sasa hivi
acha nitengeneze chapaa,” alisema Baby ambaye
umri wake unakadiriwa kutopungua miaka 30.
GPL

TUMEAMIA HUKU