Habari zilizosambaa leo kutoka Kwenye Gazeti
Moja zinasema Familia ya Diamond Pamoja Na
marafiki walishangazwa na Kitendo cha Diamond
Kuzipeleka Tuzo Saba Alizoshinda kwa Wema
Sepetu Badala ya Kuzipeleka Nyumbani
Kwake...Pia inasemekana Ule Ukaribu wa Diamond
na Mama Yake Siku hizi Umepungua Hata Kwenye
Tuzo za Kill Mama yake Hakuudhuria Kama
Kawaida yake na Tulivyomzoea....Wengine
Wameanza Kusema kuwa ni Kwasababu Mama
yake Hamkubali Wema Sana So siku hizi
Anajitenga...Pia Dada Yake wa Hiari Halima
Kimwana Hakuonekana Ukumbini kwa Kile
kinachosemekana aliogopa Team Wema
Kumzodoa....
-Udaku Specially-