Featured Posts

Saturday, May 31, 2014

MASANJA AVUKA BODA, TAZAMA PICHA SHABIKI TOKA USA ALIYEJICHORA TATTOO YAKE KUONYESHA KUMKUBALI

masanja.
Mara chache sana utaona mapenzi kama haya kwa msanii, hasa kwa hapa bongo wengi wanaishia kusaport kazi za msanii fulani na kishia hapo, ila huyu sasa kapitiliza. Kwa jinsi anavyomkubali Masanja ameamua kuchora tattoo kubwa tu mkononi mwake iliyoandikwa “MASANJA”.Kupitia mtandao wa kijamii wa twitter inaonesha kuwa shabiki huyo makazi yake ni huko katika mji wa Vancouver nchini Canada.Hii inaonyesha ni jinsi gani msanii huyu wa Comedy anavyokubalika kila kona ya Dunia.
drfdf

TUMEAMIA HUKU