Featured Posts

Friday, May 30, 2014

SHILOLE AKA SHISHI BABY ATAJA VITU VITANO VINAVYOMPA RAHA KATIKA MAISHA YAKE!!!

Shilole

Shilole

Vibe Magazine ilipata nafasi ya kungea mawili matatu na mwanadada shilole juu ya mambo kadhaa yaliyowahi kumfurahisha katika maisha yake.Mambo hayo ni kama ifuatavyo :-

1. Siku  nillipopata mtoto wangu wa kwanza, kwa kweli nilikua very happy kwani ni kitu kizuri kwa mwanamke , na kwa kweli ni kitu ambacho siwezi kusahau maishani mwangu kwani nilikua bado mdogo sana.
shilole vibe 5
2. Kitu kingine, kuzaliwa mwanamke kwangu ni kitu kizuri sana kwani inanirahisishia kufanya mambo yangu mengi , najisikia raha sana kua mlezi kwa kweli.
Shilole
Shilole
3. Siku yangu ya kwanza kufanya music kwa kweli sitosahau jinsi nilivyokua happy. Kwani ilikua ndoto yangu  ya muda mrefu na mwisho wa siku ikatimia.
shilole
4. Kupata nyumba yangu mwenyewe pia ni kitu cha kujivunia, kwani najua kule nilikotoka kwa kweli. So , i am happy for what i have now.
shilole vibe 5
5. Kuanzisha restaurant yangu ni kitu kinachonifurahisha sana coz ninaishi ndani ya ndoto yangu kwani nimeuza sana samaki na maandazi ya kutembeza na sasa nauza bado lakini kwa style ya maendeleo zaidi.
Shilole
Shilole

TUMEAMIA HUKU