Featured Posts

Wednesday, May 28, 2014

PICHA ZAIDI ZA MUONEKANO WA KIM, KANYE WEST SIKU YA NDOA YAO

Kim Kardashian na Kanye West wapigana busu baada ya kufunga ndoa Jumamosi iliyopita, Forte di Belvedere Florence, Italia.
...Mke na mume ambao ni Kim Kardashian na Kanye West wakiwa wameshikana mikono baada ya kufunga ndoa.
Kim akiwa ndani ya gauni lake la harusi siku ya ndoa yake huko Forte di Belvedere Florence, Italia.

TUMEAMIA HUKU