Baada ya Linah Sanga Siku hizi Kuonekana Kila
kona Akiwa na Kijana Anayejulikana kwa jina
la Nagari Kombo Amehabarisha na Kusema huyo
ni mchumba yake kabisa na Nyumbani
wameshajitambulisha kila kitu kiko sawa na
Wanasubiria Ndoa tu Ambayo itakuwa hivi
karibuni....Mara ya mwisho walionekana pamoja
siku ya Tuzo za Kill Pale Mlimani City ...Mchumba
wake Ni yule Kijana Aliyepata umaarufu Baada ya
kuingia Uwanjani siku ya Taifa Stars na Brazil na
kwenda Kumkubatia Ricardo Kaka huku Mpira
Ukiendelea.
-Udaku Specially-