Featured Posts

Thursday, May 29, 2014

AIBU NZITO, MCHUNGAJI AFUMWA AKINGONOKA NA MUUMINI WAKE LIVE

KATIKA  hali ya kushangaza , mchungaji mmoja huko nchini Nigeria amejikuta akiaibika baada ya video yake aliyokuwa  akimtomasa  mwanamke  wakati wa  maombi  kuvuja na kusambaa kitika mitandao mbali mbali ya kijamii.

Video hiyo ilirekodiwa kwa kutumia kamera zilizokuwa zimetegeshwa kitika ofisi ya mchungaji huyo bila yeye kujua.
Tazama video ya mchungaji huyo hapa

TUMEAMIA HUKU