Featured Posts

Thursday, May 29, 2014

LAAANA HII, MREMBO AACHIKA NA KWENDA KUISHI NA DEMU MWENZAKE


Machale yalianza kunicheza pale nilipokuta picha za ajabu kwenye simu ya mpenzi wangu akiwa na rafiki yake wa kike chumbani wakifanya mambo yanayo husiana na usagaji, Picha hizo zilinitisha ikabidi nimuulize hakuonyesha kujali nakuona nikama kitu cha kawaida, baadhi, ya picha walionekana wakikiss, na nyingine kukumbatiana. Ushauri wadau nimpige chini au vipi? 

TUMEAMIA HUKU