Featured Posts

Friday, May 30, 2014

TAZAMA PICHA ZOTE ZA SHOW YA DIAMOND ALIYOPIGA JUZI HUKO MALINDI KENYA BAADA YA KUTOKA USA

Diamond wa wasafi pamoja na Romy jay baada ya kuwasili airport malindi kwa ajili ya kupiga show.
 
Diamond baada ya kuwasili malindi akapelekwa katika club moja ambayo inafahamika kwa jina la Pata Pata beach club.Msanii huyo alipofika aliamua kufanya kwanza mazoezi ya sauti kama unavyomuona hapo katika picha.
        Mazoezi ya sauti mwanzo mwisho kweli Diamond Platinum wa wasafi yuko balida kabisa.

 Akifanya vitu vyakee sasa



TUMEAMIA HUKU