Featured Posts

Friday, May 30, 2014

HATIMAYE WOLPER ANENA MAZITO KUHUSU PICHA HII YA UCHI INAYOSEMEKANA NI YA KWAKE!!

F

Kwa sasa Instagram ndio mtandao wa kijamii unaoongoza kwa kutoa habari mbalimbali za wasanii, mabifu na makundi mengi yapo huko.Lakini hii kwa Jaqckili Wolper imekuwa tofauti kidogo baada ya kukerwa na kitendo cha picha ya nusu utupu hapo juu katika mablog mbalimbali iliyosemekana ni ya kwake.. bila kuchelewa ameama kufunguka la moyoni kabisa!! 

TUMEAMIA HUKU