Featured Posts

Friday, May 30, 2014

TAZAMA PICHA 6 ZA MAANDAMANO YA WANACHUO WA SAUTI LEO MAY 29

5mtrWanachuo wa chuo cha saut tawi la mtwara leo wameandamana mpaka kwa  mkuu wa mkoa wa Mtwara kutaka ufumbuzi juu ya mikopo yao kama wanachuo kutoka kwenye bodi ya mikopo.


Madai yao kwa sasa ni miezi 4 hawajalipwa ndipo wakaamua kuandamana maandamano ambayo hayakuwa rasmi hivyo jeshi la polisi mkoa wa mtwara likaingilia kati na kuzima maandamano hayo yaliyoanza mchana majira ya saa 8 mpaka saa 1o.
6mtr


5mtr

 
4mtr

 

2mtr

TUMEAMIA HUKU