Featured Posts

Thursday, May 29, 2014

TAZAMA PICHA WASANII AKIWEMO PFUNK WALIVYOFIKA KABURINI KWA MAREHEMU NGWAIR KUMKUMBUKA

juzi ilikuwa ni kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha king wa freestyle bongo,  albert mangwea a.k.a mimi, baadhi ya wasanii na maprodyuza walifaika kaburini kwake kwa ajili ya kumuenzi rafiki yao huyo. mmoja wa mastaa waliofika kaburini hapo ni Pfunk majani na wastara wa bongo movie kama wanavyoonekana katika picha hizi ambazo wasafi classic tumekuandalia
P-FUNK MAJANI

P-FUNK MAJANI

P-FUNK MAJANI

TUMEAMIA HUKU