Featured Posts

Wednesday, May 28, 2014

HUYU NDO YULE BWANA MPYA WA IRENE UWOYA CHEKI HAPA FULL MCHAPO

ireneWiki chache tangu kutoka kwa taaarifa za uhusiano wa kimapenzi kati ya Ney wa Mutego na Irene Uwoya ingawa Ney alikataa,leo kuna zingine ambazo pia zinamhusu Irene Uwoya na msanii anaesemekana waliingia kwenye makubaliano ya kuwa mtu na meneja wake.
msamiHit maker wa Sound Track Msami kutoka THT amehusishwa na uhusiano wa kimapenzi na Irene Uwoya hapa amesikika mpenzi wake Msami na Msami mwenyewe baada ya kuulizwa na Soudy Brown juu ya uhusiano huo ulioanzishwa.
uuuHaya ni majibu ya Msami alipoulizwa juu ya uhusiano na Irene Uwoya>>’Nipo na uwoya kivipi?hizi stori sijui nani kakupa bana’.
Majibu ya mpenzi wa Msami anaitwa Rehema>>’Maswali gani hayo,mpigie mwenyewe muulize,kifupi yeye ana mambo yake mwenyewe hamna lolote tamaa za vijana wanapotoka wanashawishika na tamaa ya hela’
‘Sijui wanajifanya wao meneja,yule mimi kuniacha ni ngumu sana yaani hata apite nani na nani kuniacha mimi hawezi yaani nina uhakika huo na najua mpaka jana nawasiliana nae yaani yule chapa ilale sisikii wivu’
‘Mimi najiamini na najikubali kwamba hata nikitokea hawezi kuongea chochote Msami,hata Uwoya simuogopi kwa sababu star?maana hata mie star,hawezi kuwa anammiliki maana kama angekua anammiliki asingekua na ruksa Msami akamwambia nina mwanamke wangu ana hivi na hivi maana hata uwoya mwenyewe ananijua’
‘Yeye mwenyewe anatakiwa kujiheshimu kwanza ajitazame yeye mkubwa halafu lazima ajihesabie katembea na watu wangapi na nasikia taarifa yake kuwa yeye kawaida yake yaani kila mtu mtaani analalamika,anajishusha sana tofauti na wenzake wanaojiheshimu,kwa sababu sio rika lake kwa mtu anayejiheshimu hawezi kufanya hivyo’

TUMEAMIA HUKU