Featured Posts

Friday, May 30, 2014

KUME WAUNI SIO BONGO TU, TAZAMA WALICHO MFANYA DIAMOND , DAH NOMA SANA

Unaweza kudhani kuwa mambo haya yapo hapa tzee tu, kumbe ni kila sehemu, hata huko kwa States yapo, ile show aliyekuwa aifanye mkali wa Afro Pop kutoka Bongo  Diamond platnumz, imeingia dosari,
10375607_593009050797165_1415755066_n baada ya promota kushindwa kufikia ahadi zake katika swala zima la mkwanja, Show hii iliyokuwa ifanyike siku ya ijumaa ya kesho tarehe 30 May mjini Northampton, ndiyo ishakufa tena baada ya Dangote kuzinguliwa kibongo bongo.

TUMEAMIA HUKU