Featured Posts

Saturday, May 31, 2014

MONALISA AFUNGUKA KUHUSU KIFO CHA X-HUBBY WAKE GEORGE TYSON AMBAYE NI BABA WA MTOTO WAKE..NI MAJONZI MAKUBWA

Msanii wa filamu nchini ambaye pia aliwahi kuwa mke wa marehemu  George tayson aliyefariki kwa ajali ya gari jana saa moja usiku akitokea dodoma katika kuazimisha miaka miwili ya kipindi cha The mbon show ameonyesha kuumia sana sana na kifo hicho kwa marehemu ndio mtu wa kwanza kukigundua kipaji chake na kumtoa kisanaa
Monalisa amejikuta akiandika kwa kuonyesha kuguswa na kifo hicho na hichi ndicho aichokiandika mona Monalisa amemlilia Tyson kwa kuandika yafuatayo:

TUMEAMIA HUKU