Featured Posts

Tuesday, May 20, 2014

POLISI TABORA WAKAMATA RISASI 307,BUNDUKI NA SARE ZA KIJESHI 7:45 PM

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda leo tarehe 19/05/2014 amekutana na waandishi wa habari na kuongelea mambo mbalimbali hasa matukio ya kukamatwa kwa risasi 307 za SMG, tatu za shortgun na bunduki aina hiyohiyo, tano za Rifle na bunduki yake. Pichani ni Kamanda Kaganda akionyesha sehemu ya risasi hizo pamoja na sare za Jeshi zilizokamatwa mkoani humo.Picha/Habari na FAKIH ABDUL - Mwandishi wa habari wa jeshi la Polisi mkoa wa Tabora.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akiwaeleza waandishi wa habari kuhusiana na tukio hilo.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akiongea na Waandishi wa habari.





 
 1
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 19/05/2014.
Ndugu waandishi wa habari, Jeshi la Polisi mkoa wa Taboralinaendelea na Operesheni katika wilaya zote za mkoa wa Tabora.Ambapo kufuatia operesheni hiyo tumefanikiwa kukamatawatuhumiwa wa makosa mbali mbali
 
kama ifuatavyo:-
KUPATIKANA NA RISASI:
 Mnamo tarehe 18/05/2014 huko eneo la
barabara ya Sikonge kata ya Ng’ambo
 Manispaa ya Taboraalikamatwa BARANABA s/o JOSEPH, 36yrs, Mkonongo, mkazi waInyonga wilaya ya Mlele mkoa a Katavi akiwa na risasi 307 zaSMG/SAR, mtuhumiwa amekiri kujihusisha uchuuzi wa risasi namatukio mbalimbal
i ya unyanga’anyi wa kutumia silaha
. Baada yamahojiano alieleza kuwa risasi hizo ameuziwa na
CHRISTINA D/OPILIPILI, 42YRS
, muha, mkazi wa mataa wa Hali ya hewa, kigomamjini ambaye naye amekiri kuwa ni muuzaji wa risasi na huzitoamaeneo ya kigoma na kuja kuuzia hapa mkoani Tabora na mikoamingine ya jirani . Watuhumiwa watafikishwa mahakamani marabaada baada ya upelelezi kukamilika.
KUPATIKANA NA SARE ZA JESHI:
 tarehe 18/05/2014 huko eneo laIsike jirani na NBC Bank manispaa ya Tabora alikamatwa KARIMUS/O ALLY, 25yrs, Muhurudu mkazi wa Mirambo, akiwa na sare zaJeshi la Wananchi wa Tanzania. Mtuhumiwa amekuwa akitishia na
 
 2
-kulaghai wanachi kuwa ni askari wa jeshi hilo kwa nia yakujipatia fedha na huduma mbalimbali. Mtuhumiwa atafikishwamahakamani baada ya upelelezi kukamilika.
KUPATIKANA NA SILAHA:
 katika eneo la Ndono wilaya ya Uyuialikamatwa, RAJABU S/O HUSSEIN, 65yrs, Mnyamwezi, mkulimamkazi wa Kidatu manispaa ya Tabora akiwa na silaha aina yaShortgun iliyotengenezwa kienyeji kinyume na sheria, kisu kimojakikiwa ndani ya ala, tochi moja na Risasi tatu za Short gun.Mtuhumiwa baada ya kukamatwa aliwataja watu wawiliwanaomuuzia risasi ambao ni:- NOEL S/O VITALI, 40yrs,mkulima, na ADREA S/O JOSEPH, 50yrs, Mnyamwezi, wote niwakazi wa Ukumbisiganga wilaya ya Kaliua, wameshakamatwatarehe 15/05/2014.upelelezi unaendelea na watuhumiwawatafikishwa mahakamani.Pia huko eneo la usoke mjini kata na Tarafa ya usoke wilaya yaurambo walikamatwa
HIRALY S/O RASHIDI @ BAKARI 40YRS ABDALAHS/O RASHID @BAKARI 35YRS, MOSHI S/O RASHID @BAKARI 38YRS NAALADIN S/O RASHIDI @BAKARI 22YRS
 wote wakazi wa Usoke mjiniwakiwa na bunduki aina ya
RIFFLE
na risasi
tano
 
ambayowanamiliki kinyume na sheria. Upelelezi unaendelea nawatuhumiwa watafikishwa mahakamani.
AJALI YA GARI KUGONGA PIKIPIKI NA KUSABABISHA KIFO:
 Mnamotarehe 16/05/2014 huko barabara ya Jamhuri maeneo yamahakama ya wilaya ya Tabora gari T.516 ALA Toyota Rav 4aligonga pikipiki T. 458 ACC Sanlg na T.295 CPF SANLG nakusababisha kifo cha RICHARD S/O ALOYCE na majeruhiwawili.majeruhi hao wanapatiwa matibabu katika hospitali yamkoa kitete. chanzo cha ajali ni mwendo kaswa dereva wagari.Ambapo baada ya ajali dereva aliyefahamika kwa jinaSTUMAI D/O TAMBWE, mkulima, mkazi wa chem chem manispaa
 
 3
ya tabora la alipimwa na kupatikana ametumia kilevi.mtuhumiwaatafikishwa mahakamani.
AJALI YA MAGARI MAWILI KUGONGANA NA KUSABABISHA VIFO:
 
huko kijiji cha Bulyang’ombe barabara kuu ya Igunga –
Nzega garilenye namba za usajili T.677 AGJ Scania bus mali ya ZUGA s/oAUGOSTINO @RICHARD wa Mwanza ikiendeshwa na PIUS s/o?iligonga gari T.968 AJX Iveco iliyokuwa imeegeshwa pembenimwa barabara na dereva JUMA s/o BUNDALA, 41yrs, msukuma,mkazi wa Shinyanga na kusababisha vifo vya watu 2 namajeruhiwa 14 wamelazwa katika hospitali ya (w) Igunga .chanzo ni uzembe wa dereva.Jeshi la Polisi (M) Tabora linatoa shukurani kwa wote wanaolipatiataaarifa tunazidi wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana naJeshi lao ili kukomesha na kutokomeza vitendo vyote vya uhalifuna kuwafichua wahalifu, pia watumiaji wa barabara wafuatesheria za usalama barabarani ili kupunguza matukio ya ajaliOperesheni za kukamata wahalifu na makosaya baarabaranizinaendelea ili kuhakikisha mkoa unakuwa na amani,utulivu nausalama wa raia na mali zao.Imetolewa na :-
KAMANDA WA POLISI

TUMEAMIA HUKU