Featured Posts

Wednesday, May 7, 2014

Exclusive;Dr Cheni naye alazwa kwa Ugonjwa wa Dengue


sanii wa filamu nchini, Dr Cheni amelezwa toka jana katika hospitali ya Buruhani jijini Dar es Salaam kutokana na ugonjwa wa Dengue.
Dr Cheni akiwa hospital
Dr Cheni akiwa hospital

Akizungumza na mtandao wetu leo Dr Cheni amesema kuwa bado hali yake sio nzuri kutokana na kuishiwa damu na mwili kupoteza nguvu.
“Bado ni nipo hospitali ya Buruhani naumwa hili gonjwa jipya,sijui unaitwa Dengue,” amesema. “Bado hali yangu sio nzuri kabisa,yaani naumwa,napungukiwa damu,mwili unauma,kwahiyo yanai bado ninaumwa,hii homa ilinianzia wiki iliyopita sema nilikuwa bado hawajaigundua ila jana ndio wameingundua,” ameongeza.
Dr Cheni amesema kuwa anawaomba Watanzania wamuombee kwani bado hali yake sio mzuri.
0803f04ad56811e3a33d0002c9c704da_8
Dr Cheni akipewa huduma na msanii mwenzake wa filamu

TUMEAMIA HUKU