Alidai anakunywa moja tu kupunguza mawazo kwani aliyemwahidi kumchumbia kaingia mitini lakini kadri muda ulivyokuwa unayoyoma alikua anaongeza kilaji tu mpaka pale akawa ajitambua kilichofata baada ya hapo ........mpaka asubuhi.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...