Featured Posts

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Showing posts with label BONGO. Show all posts
Showing posts with label BONGO. Show all posts

Tuesday, June 10, 2014

RAY AMPAGAWISHA DEMU WAKE BAADA YA KUMFANYIA HII KITU, CHEKI MWENYEWE HAPA

Love is blind lakini wanaopenda wana macho. Hapa inajidhihirisha kwa Chuchu hans, baada ya kuzunguka sana mwisho wa siku kufika alipotaka. Mwanadada huyo alikuwa Miss Tanga 2010 na kuingia bongo movie yuko ndani ya mapenzi mazito sana na legend wa bongo movie Raymond Kigosi a.k.a Ray ,  ceo wa RJ company.
Vicent-Kigosi-Ray-na-chuchu-hans
Katika kuonyesha how deep her love kwa kijana huyo Chuchu aliamua kujichora tatoo yenye jina na Star huyo na kwa sasa Ray ameshahama kwao na kuhamia sehemu nyingine kuishi na binti huyo wa kitanga mwenye muonekano wa point five yani chotara flani na kwa sasa wawili hao wanaishi pamoja. So kama kuna anaesubiri waachane leo au  kesho basi wawili hawa bado wapo sana na hata ndoa haitakuwa mbali sana kwani vibe ilipombana mdada huyo alijikanjaga na kuropoka kwamba target yao ni kuoana ila hajajua itakuwa lini lakini lazima ndoa itakuwepo , basi tuwatakie  kila la kheri wawili hawa…

Saturday, May 31, 2014

UMEWAHI KUMWONA MCHUMBA MTARAJIWA WA OMMY DIMPOZ? MWENYEWE AELEZA WALIVYOKUTANA, CHEKI HAPA

Mchumbawa Ommy Dimpoz
Ommy amesema  kuwa yeye na msichana huyo waliweza kukaa kwa muda wa mwaka mmoja wakichati bila kuonana.
“Social network zilisaidia kutuunganisha lakini matokeo yake mpaka tukaja kuonana. Mpaka nikaja kwenye tour tukaonana, si unajua kuna zile mzee unashangaa ma Instagram mtoto ka like picha kama tisini hivi, halafu ukichekecha unaona mbona kama umechorwaee ,bahati nzuri ilipoanzishwa instamessage kwahiyo kama unajiiba hivi. Ni Mtanzania, mpaka kuonana ilichukua kama mwaka, tumechat tumechat mpaka ikafikia time, sina haraka kwanini niwe na haraka, kuamiana kunakuja automatically,” alisema.
“Unajua mambo ya mapenzi Mungu mwenyewe ndio anajua, pengine wengine anaweza wewe ukawa muuza mkaa demu akaja kununua mkaa. Lakini lile kopo unavyolishika kimachejo wakati wa kupima yeye anapenda ule upimaji wako, kwahiyo kuna kitu kama hivyo haijalisha mnakutana wapi, ikiwa tu mmewekea mipaka yenu, masharti hivi na hivi maisha yenu yanaenda.”

KAMA ULIPITWA UZINDUZI WA NYUMBA MPYA YA DIAMOND, HUU HAPA, NI NOMA SANA, BUFEE LA NGUVU LILIHUSIKA

Mama Diamond akiandaa…
Msosi wanguvu kifamilia zaidi
Mezani tayari kwa kupata msosi
Mkono umeanza akuna kijiko hapa raha ya pilau ni konoziiii
Kitu cha tunda hicho embe kutoka Kigomaaaaaa

Picha zote kwa Hisani  ya Vijimambo Blog

UKISTAAJABU YA OMMY DIMPOZI UTAYAONA YA PREZZO, HII INAKUHUSU WEWE MJANJA SOMA HAPA

pREZZOCMB

Baada ya story za hapa town kuzagaa kuwa Ommy dimpoz amefanya shopping ya maana huko majuu, ila ishu ilikuwa pale alipofanya matumizi ya viatu aina ya sneakers yaliyokuwa yanalingana na kipato(mshahara) cha mtu wa kati cha miezi mitatu hivi. hili jipya sasa kwa upande wa msanii wa kenya Prezzo baada ya kufanya kufuru zaidi. Hivi karibuni Prezzo ameonekana akivalia sneakers kutoka kwa designer maarufu wa kimataifa wa viatu ajulikanaye kama Christian Louboutin, viatu hivyo vina thamani ya shilingi milioni mbili = (2,000,000/-), viatu adimu kuvikuta kwenye maduka yetu haya ya kawaida ya kitaa, tukio lilowaacha mashabiki wengi mdomo wazi pale walipogundua haswa thamani halisi ya viatu hivyo.
prezz
Prezzo amezoeleka kuwa ni mtu wa matanuzi ya makubwa sana, kuanzia kubook private plane kuzunguka tu, kutoka mji mmoja hadi mwingine, kununua magari ya kifahari na mengine mengi ambayo kwa msanii wa kawaida imekuwa bado ni ndoto. Ila kwa msanii prezzo inasemekana utajiri wake si tu wa kutegemea muziki peke yake, mbali na muziki anafanya biashara nyingi tu, ikiwemo uuzaji wa madini.


ChristianLouboutinLouisBlackSpikesHighMenSneakersDenim_01

TAZAMA TATTOO ZA BAADHI YA WASANII WA KIBONGO NA MAANA ZAKE ZOTE ZIKO HAPA,

Kama tungekua nchi za wenzetu tukaanza kuandika kuhusu tatoo na wasanii basi tusingemaliza leo maana karibia kila msanii ana tatoo na sio moja tu bali zaidi ya moja.Lil Wayne ana zaidi ya tatoo 300 , Rihanna ana tatoo 19 ,Miley Cyrus ana tatoo 19 pia huku Bruno Mars akiwa na Tatoo 5 . Lakini vipi kwa upande wa bongo , Tatoo na usanii au umaarufu vimeanza kuendana hapa bongo na hii ni list ya wasanii wa bongo wenye tatoos.

Diamond Platnumz
Diamond ana tatoo kubwa kwenye mkono wake wa kulia maeneo ya begani na nyingine kwenye mkono wake wa kushoto yenye maandishi ya kichina ambayo maana yake ni “I love my mama”.
Diamond Platnumz
Wema Sepetu
Wema Sepetu ni moja kati ya wasanii wa bongo wenye tatoo nyingi , ana tatoo kwenye shingo yake , pia ana tatoo yenye maandishi ya kichina mgongoni yenye maana ya potential kwa kiingireza. pia ana tatoo mkononi na kwenye bega.
Wema-Sepetu-Tatoo-www-vibe-co-tz

Ney wa Mitego
Ney wa Mitego ni mmoja kati ya wasanii wabishi wanaofanya muziki mgumu maarufu kama Hip Hop, ambaye amejaribu kubeba dhana hiyo kama msanii anayetafsirika kimwonekano. Ney wa mitego ameanza kuchora tatoo tokea mwaka 2002 alipokua kidato cha pili katika shule ya sekondari ya mbezi beach.Katika mkono wake wa kulia kuna tatoo yenye nanga ya hip-hop ikiwa na maana kuwa yeye ni mtu mwenye imani na ndoto za kufanikiwa kupitia muziki huo wa ‘Hip Hop’.‘tattoo’ iliyopo katika mkono wa kushoto ni nyoka mwenye mabawa(Dragon) ,kiumbe ambacho ni adimu kuonekana duniani.
Nay-Tatoo
Elizabeth Michael “Lulu”
lulu naye hayupo nyuma katika kuchora tatoo. kwa upande wa lulu ni kidogo na wengine kwani yeye ameambua kwenda straight forward na kuweka ujumbe wa maneno chini kidogo ya shingo lake karibia na bega unaosema “Only God can Judge Me”.
Lulu-Tattoos-www-vibe-co-tz
Jux
Jux ana tattoo mbili. Ya kwanza ipo kifuani na watu wengi wamekuwa wanasema tatoo hii inafanana na ile ya trey songs lakini ukweli ni kuwa sehemu ya mwili  aliyoichorea  ni kama ya Trey Songz lakini fonts na ujumbe ni tofauti kwani tattoo ya trey songz ameandika ameandika kwa ajili ya mama yake , mdogo wake wa kiume na bibi yake huku kwa upande wa jux ukiwa na ujumbe mzito pia lakini hatujajua bado unamhusu nani na part ya tattoo hiyo inasema “always missing you” na “hope to see you”. Jux ana tattoo nyingine mkononi maeneo ya bega ikiwa na “Virgo Angel” kwa kibongo tunaweza kuita mashuke .
Jux-Tattoo-copyright-www-vibe-co-tz
Irene Uwoya
Uwoya nae ni kati ya wasanii wakubwa wakwanza kabisa kunyesha tatoo zake. ana tatoo juu kidogo ya matiti yake yenye alama ya nyayo za paka au chui.Pia ana tattoo mgongoni  iliyoandikwa krrish ikiwa na alama za nyayo ya mtoto mdogo ambayo ni maalumu kwa mtoto wake Krrish Ndikumana.Kuna tattoo nyingine zinaonekana kiunoni na miguuni pia.
Irene-Uwoya-Tattoos-www-vibe-co-tz


TUMEAMIA HUKU