Featured Posts

Tuesday, July 15, 2014

WAISLAM WA MBEYA WAPATA FURSA YA KUPATA FUTARI SAFI NA RAIS DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE

mb1
Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.PICHA NA IKULU
mb2
Meza Kuu katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

mb3
Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.
mb4
Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.
mb7mb8
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru wananchi wa Mbeya kwa kujitokeza kwa wingi katika futari aliyoiandaa katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
mb10

mb12
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Sheikh Mohamed Ali Mwansasu akitoa mawaiadha baada ya futari   iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
mb14
Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.
mb15
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Sheikh Mohamed Ali Mwansasu akitoa mawaiadha baada ya futari   iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
mb16
Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika futari aliyoandaa  katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
mb18
Rais Jakaya Kikwete akiungana na wananchi wa Mbeya katika swala ya Magharibi katika  futari aliyoandaa  katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
mb19
Waziri wa Nchi Katika Ofisi ys Rais (Kazi Maalumu) Profesa Mark Mwandosya, na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” wakiungana na wananchi katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

TUMEAMIA HUKU