Huyu bint inasemekana ni mwanafunzi wa chuo ambae ni raia wa Kenya
anaesoma nchini pia ilidaiwa ni mtoto wa Waziri mmoha nchini humo
Huyu nae amewahi kupangiwa chumba na Manaiki maeneo ya Sinza na wakaishi zaidi ya mwaka mmoja kama mume na mke!
Msichana ambae inasemekana aliwahi kunusurika kunywa sumu kwa ajili ya penzi la Manaiki mmh.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...