Featured Posts

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Showing posts with label DIAMOND. Show all posts
Showing posts with label DIAMOND. Show all posts

Friday, June 20, 2014

SHAVU LINGINE: DIAMOND PLATINUMZ AKWEA PIPA USIKU HUU KUELEKEA UBELGIJI KWA SHOW KIBAO

mkali wa miondoko ya bongeo flava diamond platinumz, hatulii bongo kabisa safari kibao, na sasa amepata shavu lingine la kupiga show ubelgiji, msanii huyo ametupia picha usiku huu akijiandaa kukwea pipa kuelekea pamde hizo huku akiwaaga mashabiki wake waa bongo. big up diamond endelea kuipeperusha bendera ya nchi yetu, japo umekosa tuzo ila husikate tamaa

Tuesday, June 10, 2014

SHUHUDIA DIAMOND AKIWA STUDIO NA MAFIKIZOLO AMBAO WAMEMUOMBA AFANYE NAO COLLABO


Tumezoea kuona wasanii wa Tanzania wakiomba kufanya collabo na wasanii wakubwa wa kimataifa kwa lengo la kujitangaza kimataifa, lakini Diamond Platnumz amefikia hadhi ya yeye kuombwa collabo na wasanii wakubwa.

Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limemuomba hit maker wa ‘Number 1′ Diamond Platnumz afanye nao collabo, na jana (June 9) waliingia katika studio ya Oskido iliyoko Johannesburg kurekodi wimbo huo.

“We doing a collaboration with Diamond,the song is sounding awesome yes” aliandika Theo Kgosinkwe wa Mafikizolo katika moja ya picha wakiwa studio na Diamond.

Collabo hiyo ya Mafikizolo na Diamond itampa nafasi nzuri zaidi Platnumz sababu ya ukubwa walionao wanamuziki hao wa Afrika Kusini.

Mafikizolo ni washindi wa Tuzo mbili za MTV (MAMA) 2014 zilizofanyika Jumamosi iliyopita huko Durban, Afrika Kusini.
 

SOMA HAPA SABABU WANAZOTOA MADEMU ZAKE DIAMOND PLATINUMZ BAADA YA KUWAMWAGA

collage

Hadi hii leo Divas maarufu waliowahi kufunguka kiundani kuhusu kutoka na mwanamuziki huyu, na kwa nyakati tofauti kila mmoja wao alijaribu kufunguka kuhusu experience zao, pindi walipokuwa wanatoka na mkali wa bongo fleva nchini hivi sasa Mr.Dangote aka Diamond Platnumz, ambaye amerudiana na kuendelea kudumu katika penzi lake la zamani na la siku zote kwa Diva Wema Sepetu..basi haya ndo machache waliowahi kutoa ya moyoni.
DVJ Penny
penny1
“Kama uhusiano wowote ulivyo, kuna mwanzo na mwisho na watu wanaachana kwa sababu nyingi. Nilihisi kwamba nahitaji kumpa nafasi, wote ni vijana na wakati mwingine tunahitaji nafasi kugundua vitu vipya, kuona kipi hasa unachokihitaji kwenye maisha. Unajua ukimruhusu ndege afanye vitu mbalimbali then atajua kama ‘mti huu ndio unanifaa, mti huu haunifai. Hivyo nilihisi kwamba wote tulihitaji hicho, tulihitaji ‘space’ hivyo nikampa nafasi na mimi nakuchukua nafasi. Huwa nawaambia watu kuwa vyovyote ilivyo, yeyote atakayekuwa naye, nipo pembeni yake nikimshangilia kwasababu ni kweli (Diamond) ni mtu mzuri ndani. Achana na watu wanavyomuona chizi chizi, sahau msanii unayemjua, ana roho nzuri na anajua anachokitaka. Ni ngumu kuacha iende.. kama ni rahisi kuacha iende basi hujampenda huyo mtu.”
Jokate Mwegelo
1234423_601416366575523_1452327333_n
“Mahusiano ya diamond yalikuwa very strange, I dont know yani..i think ilikuwa kazi lakini I guess it was a time I guess I was frustrated,sielewi yani ilitokea tokea tu”
Jackline Wolper
kk
“Ni kweli niliwahi kuwa na diamond,tulikuwa na mahusiano lakini pia alikuwa ni mshirika wa biashara,yeye alikuwa hawezi kulala bila kuniona,lakini tulidumu kama mwezi mmoja hivi, tukaishia kuwa marafiki tu.”

Monday, June 9, 2014

TAZAMA HAPA PICHA 10 ZA MWISHO ZA DIAMOND JANA KABLA YA UTOAJI TUZO ZA MTV

Mpaka sasa zaidi ya asilimia 90 ya maandalizi yote yamekamilika na kinachosubiriwa sasa hivi ni muda wa kujua washindi wa vipengele mbalimbali wanavyoshindanishwa kupitia MTV Africa Music Award ‘MAMA’ na Tanzania upande wa muziki tunae Diamond Platnumz pekee.
MOND9
Add caption
Hizi ni picha 10 za Diamond zikimuonyesha akiwa katika maandalizi ya mwisho ikiwa ni pamoja na interview kadhaa alizofanya kabla ya tuzo kuanza kutolewa,kama una Dstv tuzo hizi utazishuhudia kupitia channel 322.MOND10
Marlon Wayans ambaye ni miongoni mwa Waigizaji na pia mchekeshaji maarufu nchini Marekani ambaye ni mwandishi wa muswada na mwongozaji wa filamu,anatarajiwa kuwa  ndiye muongozaji upande wa jukwaa katika ugawaji wa Tuzo hizi.

MOND8

Sehemu ambayo zitatolewa tuzo hizi ni kwenye Ukumbi wa Durbun International Convertion Center (ICC) katika mji wa Kwazulu-Natal, Afrika Kusini,Ripota wako wa nguvu asiyekubali upitwe na kitu chochote iwe usiku au mchana yuko South Africa kwa ajili ya kukufahamisha kila kitakachoendelea.




MOND6
MOND5

MOND4


MOND3


MOND2
MOND1

Sunday, June 8, 2014

UNAAMBIWA HUU NDIO UGONJWA MWINGINE UNAOMSUMBUA WEMA MRS DIAMOND, EMA SEPETU

Kuna baadhi ya watu huwa wana fikia mahali wanapenda vitu hadi wakikikosa wanakuwa wanyonge hadi kuumwa, mbfali na perfumes Diva maarufu hapa Bongo Wema Sepetu yupo
addicted sana na mbwa, ila huyu si 
mbwa tu, maarufu kama Chiwawa, Divas wengi maarufu duniani huwa hawakosi aina hii ya mbwa wao
ndani ya nyuma na hadi wengine utawakuta wanatembea nao kabisa katika matembezi ya kawaida ya mtaani akiwemo mwanamuziki tajiri Paris Hilton, tabia hii ya kupenda mbwa hawa kiasi hiki iliwahi kukithiri uko ulaya, hadi kufikia mahali watu kukatazwa kuingia na mbwa hotelini na baadhi ya malls.
Kama ilikuwa haitoshi, kupitia account yake ya instagram aliweza kufunguka haya.”Namtaka kama huyu sijui nampata wapi…. yaani awe hivi hivi…Ila huyo apo mimi namtaka… nisaidieni nampata wapi… Dah…. Ni mzuri 

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA DIAMOND BAADA YA KUSHINDWA KUCHUKUA TUZO ZA MTV BASE



Macho na masikio ya Watanzania wengi kwa siku ya Jumamosi June 07 yote yalielekezwa Durban Afrika Kusini,  sehemu ambako zilikua zikitolewa tuzo za wateule wa MTV Afrika Music Award ‘MAMA’. 

Furaha tuliyokuwa nayo Watanzania ilikua kubwa baada ya kuona kijana wetu toka nyumbani Tanzania akiwa ni miongoni mwa vijana wanaochuana kwenye tuzo hizo tena akiwa katika  vipengele viwili,ingawa bahati haikuwa njema kwa Diamond kwani hakufanikiwa kupata tuzo  yoyote.
 
Baada ya kutangazwa washindi hao na yeye kutokuwepo Dimaond Platnumz ameandika maneno haya kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii:

"Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa MTV…Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo leo… pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym tuzidi kufanya vyema…. 

"Shukrani zangu nyingi ziende kwa Mashabiki wote,Management, Media,Family, wasanii na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza toka sehem moja kwenda nyingine…Next step #BET!!!… Asante sana #Sheriangoi kwa Suti Hii".
 
Diamond Platnumz alikuwa pia ni mmoja kati ya watumbuizaji wa ugawaji wa tuzo hizi,ambapo kwa namna alivyoingia kwenye jukwaa na Davido  ilimfurahisha kila mtu aliyekuepo ukumbini na watu waliokuwa wakiangalia nyumbani kupitia DSTV.

SENTENSI ALIYOITOA MC WA MTV MAMA INAYOHUSU MAKALIO YA WEMA SEPETU ISOME HAPA

Kama ilivyo kwa tuzo zozote maarufu duniani, mara nyingi ma’MC wa show hizo huwa wanapenda kumwaga maneno mengi sana ya utani, ila hii ni kali zaidi, bila kujijua mwenyewe wakati akiwa anaendelea kutangaza, alitokea kuwaponda watu maarufu duniani, akiwemo Kim Kardashian ambaye anajulikana kama ni mwanamke mwenye umbo zuri zaidi, “I’ve seen beautiful women here with butts that make kimkardashian‘s look like Miley Cyrus.(“nimekuja hapa nimeona wanawake wenye maumbo mazuri, yanavyomfanya Kim Kardashian aonekane kama Myle Cyrus”) – alitamka wazi wazi MC wa tuzo hizo za MTV MAMA.

Watu wenye maumbo kama Wema Sepetu na wanawake wengi wa huko nchini South Africa achilia mbali wageni waaalikwa kutoka nchi mbali mbali za africa, kwa jinsi walivyo umbika kwa asili ya maumbo yao ya ki-africa, yalimfanya hadi MC ambaye ndiye mchekeshaji muigizaji maarufu huko hollywood maarufu kama Marlon Wayans, ashundwe kujizuia na kutamka maneno kama hayo hadharani.

Saturday, May 31, 2014

DIAMOND PLUTNUMZ AKUTANA NA MASHABIKI WAKE HUKO WASHINGTON,DC, PICHA ZAIDI YA 10 HAPA

  Diamond Plutnumz akiwa ndani ya mgahawa wa Safari na kruu wake katika picha na mashbiki waliofika kumsabai na kupiga nae picha.
 Mashabiki wa Diamond wakipata ukodak moment na Diamond Plutnumz mara tu alipotua ndani ya mgahawa wa Safari siku ya Ijumaa May 30, 2014.
 Shabiki akiwa bado na kiu ya kupata ukodak na Rais wa Wasfai, Diamond kulia ni DMK poromota wa msanii huyo ambaye ndie anayekimbiza sasa hivi na akiwa nominee wa MTV africa na BET award itakayofanyika nchini Marekani June 29, 2014.
 Diamond akiongea jambo na Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka
 Mashabiki wa Diamond Plutnumza wakipata picha ya pamoja na Rais wa Wasafi.
 Mashabiki kutoka jirani zetu Kenya nao wakipata picha na Prezidaa Diamond Plutnumz walipofika kwenye mgahawa wa Safari uliopo Washington, DC.
 Madancer wa Diamond wakiwa na Prezdaa ndani ya mgahawa wa Safari Washington, DC.

 Mtasha wa Kimarekani aliyewahi tembelea Tanzania nae hakuwa nyuma kupata picha na Diamond ndani ya mgahawa wa Safari ulipo Washington, DC
 Shabiki akiwa na furaha kupata ukodak na Rais wa Wasafi Diamond Plutnumz
 Diamond akiwa na shabiki wake katika picha ya pamoja.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Shabiki wa Diamond hakuwa nyuma katika kupata ukodak wa kumbukumbu.
 Shabiki wa Diamond akipata picha ya pamoja na Prezedaa wa Wasafi.
 Shabiki kutoka kwa jirani zetu nae akipata picha huku akijaribu kupata picha kwenye simu yake.
 Dj Romy Jons akipata picha ya pamoja na mashabiki kwenye mgahawa wa Safari uliopo Washington, DC.
 Shabiki katika picha ya pamoja na Diamond.
 Shabiki na Diamond katika picha ya pamoja.
 Shabiki akipozi kwa picha na Diamond.
Shabiki akipozi kwa ukodak moment na Diamond.
 Shabiki wa Diamond akipata picha na rais huyo wa Wasafi.
 Shabiki akipata picha na Dj wa Diamond, Dj Romy Jons
Shabiki akipata picha na Wasafi.
Mashabiki katika picha ya pamoja na poromota wa Diamond, DMK

Friday, May 30, 2014

KUME WAUNI SIO BONGO TU, TAZAMA WALICHO MFANYA DIAMOND , DAH NOMA SANA

Unaweza kudhani kuwa mambo haya yapo hapa tzee tu, kumbe ni kila sehemu, hata huko kwa States yapo, ile show aliyekuwa aifanye mkali wa Afro Pop kutoka Bongo  Diamond platnumz, imeingia dosari,
10375607_593009050797165_1415755066_n baada ya promota kushindwa kufikia ahadi zake katika swala zima la mkwanja, Show hii iliyokuwa ifanyike siku ya ijumaa ya kesho tarehe 30 May mjini Northampton, ndiyo ishakufa tena baada ya Dangote kuzinguliwa kibongo bongo.

TUMEAMIA HUKU