Ivi ikitokea mkeo kasafiri,siku moja unaamua kufanya usafi unaamua
kumfulia nguo zake unapochukua mfuko wa nguo zake chafu unakuta DAWA ZA KIENYEJI
mbili tofauti zikiwa zimefungwa na kufichwa chini kabisa,unahamaki na
unaamua kumwita mtaalam wa tiba za asili...taalam anakufahamisha kua dawa
moja ilikua uwekewe kwenye maji ya kuoga na nyingine kwenye
chakula,mala baada ya kutumia kile atakachotaka ndicho
utakachofanya...Mke wako akirudi utamfanyaje?
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...