Featured Posts

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Showing posts with label MAJANGA. Show all posts
Showing posts with label MAJANGA. Show all posts

Friday, June 20, 2014

AIBU HII: PUNGA ASASAMBUA LIVE BILA CHENGA, VIUNO KIBAO KAMA DEMU DAH, KWELI HATARI


punga mmoja ambae jina like alikupatikana mara moja aliwaacha watu hoi baada ya kukata viuno balaa zaidi ya mwanamke, shoga huyo ambae alionekana kimemkolea alianza kusasambua bila aibu
 huku wanawake wakimchanganya kwa kumpigia makofi na kumpampu kwa kumuimbia, hizi ni baadhi ya picha tu tulizo fanikiwa kuzipata ..


TIMBWILI : NGOMA ZA VIGODORO ZASABABISHA WATATU KUJERUHIWA KWA RISASI ZA MOTO,


 
Watu watatu wakazi wa Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam wamejeruhiwa katika tukio lililohusisha risasi za moto linalodaiwa kufanywa na polisi baada ya kukutwa wakikesha kwenye ngoma maarufu za Kigodoro, ambazo tayari zimekwishapigwa marufuku na jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam.Tukio hilo lilitokea majira ya saa kumi na nusu jioni katika eneo la shule ya msingi kisiwani ambapo mmoja  wa  majeruhi hao  tayari amekwisahruhusiwa kurudi nyumbani na mwingine akiendelea na matibabu kwenye hospitali ya Mwananyamala.
Wakiwa kwenye ngoma hiyo maarufu Jijini Dar es Salaam ya Kigodoro, eneo la Kisiwani mwananyamala, mara gahfala polisi walivamia eneo hilo, na kusimamisha shughuli nzima kwa madai ya kucheza wakiwa hawana nguo, jambo ambalo ni kinyume na maadili


Akizungumza kwa njia ya simu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa kipolisi Kinondoni Kamishna msaidizi Camillius Wambura anathibitisha kutokea kwa tukio hilo

Tuesday, June 17, 2014

AIBU MKE WA MTU AZIANIKA PICHA ZAKE ZA OVYO KATIKA MTANDAO WA FACEBOOK...NI AIBU KUZIONA INASIKITISHA

Ama kwa hakika hivi sasa dunia ni kama haina tena hamu na sisi wanadamu kwani tumejikuta tukifanya mambo ambayo hata wanyama ni aghalabu sana kufanya.

Matukio ni mengi sana hata mengine hayafai kuandikwa hapa thesuperstars tz imekuwa ikipokea picha za uchi za wake za watu na waume za watu ambao hupigwa na mahawara zao kwa lengo la kutaka penzi au pesa na anapokosa huzivujisha picha hizo kwa vyombo vya habari.

Ila habari hii imenistua kidogo kwani  mwanamke huyu asiyekuwa na hata chembe ya aibu aliamua kuzitundika picha zake kwenye mtandao wa facebook kwa madai kuwa mumewe hayupo na wala hana mpango na facebook kwa hiyo hawezi kuziona picha hizo chafu na zinazotia kinyaa,ambazo zimeshuhudiwa na thesuperstarstz na kushindwa kuziweka hapa.

Kitu cha kujiuliza ni kwamba hata kama huyo mwanume haingii facebook inamaana hana marafiki au ndugu ambao wapo facebook wakamuambia anayoyafanya mkewe? na kitu kingine hadi mwanamke tena mke wa mtu ufikie kuweka picha kama hizo unatafuta nini wakati umeolewa je unataka kumuonyesha nani mwili wako na una muonyesha ili iweje wakati mume wako yupo.

Baada ya kuona picha hizo the superstarstz ilijiunga urafiki nae hadi kufikia kupata namba ya simu na ilipomsomaea kesi yake kwanza alicheka bila wasi wasi na kusema Nikuambie kitu kaka hizo picha ni zangu kweli lakini wala sijapiga kwa lengo baya ninapenda sana kupiga picha za nusu uchi na kama sheria ingeruhusu ningepiga za uchi kabisa kwani ndio hobi yangu  the superstarstz haikuishia hapo ilitaka kujua kama mumewe akiziona itakuwaje mwanamke huyo alijibu kwa kujiamini Kwanza mume wangu hayupo na wala haitaki facebook na hawezi kuziona na akiziona au akiambiwa hapo nitajua cha kufanya ila kwa sasa sina jibu kwasababu hajaziona
 
Haya wadau hayo ndio mambo ya mitandao au kifupi ni digital siku hizi hakuna mwana mke wala mwanaume wote wanatafutana cha muhimu kama hujafikia maamuzi ya kuowa au kuolewa usijiingize katika ndoa kwani utajikuta unafanya mambo ya ajabu kwakuwa hukuwa tayari kwa ndoa.

Monday, June 16, 2014

KUMEKUCHA SASA, KUMBE WALIOFANYISHWA NGONO NA SANGOMA NI WAKE ZA VIGOGO

IMEBAINIKA kuwa miongoni mwa wale wanawake 20 waliodai kufanyishwa ngono na waganga wa kienyeji ‘sangoma’ ili kupata ujauzito  baada ya kukaa  muda  mrefu  bila watoto,  wamo wake wa vigogo Bongo, Uwazi limechimba.
Kamanda Kiondo akielezea kuhusu uhalifu wa Sangoma walionaswa kwa kufanya ngono na wake wa vigogo.
Uchunguzi uliofanywa na waandishi wetu kwa baadhi ya wanawake  hao umebaini kuwa,  waume wao wanafanya kazi  katika nyadhifa za  juu serikalini, wengine ni wastaafu  na kwamba waume hao  hawajui kinachoendelea.
Kwa mujibu wa mwanamke mmoja (jina lipo), katika sakata hilo kuna wake wa maprofesa, kanali mstaafu wa JWTZ na mmoja ambaye mume wake aliwahi kuwa kamanda wa polisi wa mkoa (RPC) ambaye kwa sasa naye ni mstaafu.
...Kamanda Kiondo akizidi kuonyesha vifaa vilivyokuwa vikitumiwa na waganga hao wa kienyeji.
Mwanamke huyo alizidi kudai kuwa, ndoa moja katika hizo ilivunjika baada ya mume kubaini kuwa, mkewe alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mmoja wa sangoma hao.
‘KUFULI’ ZILISHATUMIKA
Uchuguzi zaidi ulibaini kuwa zaidi ya nguo za ndani  ‘kufuli’ za  wanawake zaidi ya 20 zilizokutwa  na polisi  kwa sangoma hao maeneo ya Tandika jijini Dar es Salaam zilikuwa zimeshavaliwa hivyo hakukuwa na mpya jambo lilionesha kuwa, zilivuliwa wakati wa tukio linalodaiwa lilikuwa na kutengezea dawa.
Baadhi ya watuhumiwa wa sakata hilo.
KWA NINI WALITOA TAARIFA POLISI?
“Sisi tuliamua kutoa taarifa polisi kwa sababu tumekuwa tukifanya ngono na wale waganga kwa muda mrefu bila kupata ujauzito na mbaya zaidi tulishatumia mamilioni ya pesa  baada ya kuuza mali zetu, zikiwemo nyumba,” alisema mwanamke huyo nje ya kituo cha polisi.
Wanawake hao ambao hawakupenda majina yao  yatajwe kwa kuhofia waume zao kujua, walisema  ni  kweli baadhi yao wamekaa katika ndoa kati ya miaka nane hadi  10 bila kupata watoto wala mimba zilizoharibika.
Kamanda Kiondo akionesha baadhi ya nguo za ndani, 'kufuli' zilizokutwa kama ushahidi kwa baadhi ya wanawake waliofanyishwa ngono na sangoma hao.
Hata hivyo, baadhi yao walirudishiwa fedha zao baada ya Kamanda Kiondo kuwabana waganga hao.
KAULI YA RPC
Wiki iliyopita Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke chini ya Kamanda, SACP Englibert Kiondo liliwatia nguvuni sangoma wawili wakiwa na matunguli na zana nyingine za kuagulia binadamu.
Kamanda Kiondo akikusanya tunguli zilizotumiwa na waganga hao wahalifu tayari kwa kuzichoma moto mbele ya wahandishi wa habari.
Vitu hivyo viliteketezwa moto kwenye Kituo cha Polisi Temeke mbele ya  waandishi wa habari.
“Ninaamini kuwa kwa vitendo  hivyo  vya kujamiiana ni hatari na huu ni ubakaji, kwani kuna uwezekano wa kuambukizana maradhi  mbalimbali ikiwemo  Ukimwi, kwa hiyo hizi zana nazichoma moto,” alisema  Kamanda Kiondo.
...Tunguli zikiteketezwa kwa moto.
Waliokamatwa katika zoezi hilo ni Juma Mohamed (32) na Abdallah Musa (25) ambao wote kwa pamoja wanashikiliwa na jeshi hilo.

Wednesday, June 11, 2014

JAMANI SEKRETARI UTAVAAJE NGUO KAMA HIZI OFISINI AFU UNAWEKA VIPOZI HIVI?

Kama wewe ni Muumini/mlokole usiziangalie picha hizi na ishia hapa hapa!....huyu ni msaidizi wa BOSS ..na inasemekana Boss wake ni mwanaume KAMILI...sasa jiulize wanaishi vipi hapo OFISINI

Monday, June 9, 2014

HIKI NDICHO KILICHOSEMWA BUNGENI JUU YA PICHA CHAFU ZINAZOSAMBAZWA MITANDAONI ZA WATU MAARUFU.

 

bungeeSakata la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za watu maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la Tanzania kule Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu Mhe. Habib Mnyaa ameonekana akihoji serikali inachukua hatua gani juu ya watu wanaotuma picha zao zisizo na maadili mitandani zikiwemo za kina Wema na Diamond wanazopiga wakiwa chumbani na kuweka kwenye mitandao. 


Katika majibu yake waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia Prof. Makame Mbarawa anasema “Mhe. Spika kuhusu picha zisizokuwa na maadili zinazowekwa katika mitandao na watu maarufu na hata wasiokuwa maarufu serikali imeanza kuandaa kanuni zitakazokuwa zikifuatilia Online Content ambapo itaanza kuchukua hatua baada ya kufuatilia juu ya picha hizo na kuchukua hatua madhubuti”.
bungee2Baada ya kauli hiyo Spika wa bunge Mhe. Anne Makinda alikazia akitaka majibu juu ya picha za juzi zilizosambaa zikimuonyesha Mhe. Komba akiwa na binti mdogo ambazo mwenyewe alisema si zake na wabunge kuonekana wakitaka majibu ambapo Mhe. Mbarawa anasema. “Mhe. Spika kuhusu picha za juzi zilizosambaa mitandaoni tunazifuatilia kujua zimeanzia wapi na taarifa zake zikoje kwani hata mimi bado sijaziona ila tutachukua hatua tutakapobaini zilipotoka.”

Sunday, June 8, 2014

MMH SASA MAKAHABA WAVUA NGUO NA KUPIGANIA MTEJA BAR, MABIKI NA TAIT NJE NJE TU, TAZAMA HAPA



LOL hali si nzri kabisa kwa wadada hawa wanao semekana makahaba waamua kpigana vilivyo kisakjinyakulia pedeshee lenye mahela lol sasa jamani kama jamaa hajazimika kwann mpigane?? hapa kazi ipo lol!

MWANACHUO HUYU AJIUZA KWENYE MITANDAO WA JAMII BILA WOGA ......CHEKI PROFILE YAKE HAPA


Anaitwa Khadija wa TPSC Mtwara kama kuna uwezekano naomba upost hii maana natafuta wa kuweza kunifikisha kileleni aliye tayari akilike namtumia namba yangu

TIMBWILI LAZUKAWODINI, MGONJWA AKATA ROHO HUKU DAKTARI AKICHAPANA MAKONDE NA WENYE MGONJWA

Mwili wa marehemu Yasin Jailan (15) aliyekata roho ndani ya wodi namba tisa katika Hospitali ya Rufaa ya Morogoro huku dokta akizichapa kavukavu.
Akiwa mitaani akisaka matukio, mwanahabari wetu alivutiwa waya na chanzo chetu kisha akatonywa kuwa kuna bonge la timbwili kwenye wodi namba tisa katika Hospitali ya Rufaa ya Morogoro ambapo alitii wito na kufika eneo la tukio ndani ya dakika sifuri (huwa Global hatulazi damu kufika eneo la tukio).
Alipofika wodini hapo, mwandishi wetu alishuhudia mtoto akikata roho huku baba mwenye mgonjwa aliyetajwa kwa jina la Jailan Mrisho akizichapa na daktari ambaye jina halikupatikana.
Baba wa marehemu (kushoto) akilia kwa uchungu.
Kwa mujibu wa baba mwenye mgonjwa, alimfikisha mwanaye hospitalini hapo akisumbuliwa na ugonjwa wa malaria uliokuwa umepanda kichwani na kusababisha kuanguka ovyo.
Alidai kuwa baada ya vipimo vya mwanaye walishauriwa kwenda kununua dawa ambazo ziliwagharimu shilingi elfu arobaini.
Alisema walipofanikiwa kupata fedha na kununua dawa hizo, daktari alidaiwa kumuuzia mgonjwa mwingine hivyo kusababisha timbwili hilo.
Dada wa marehemu naye akiwa hospitalini hapo.
Baada ya kuona hali tete huku watu wakiwa na hasira wakimlalamikia daktari huyo kwa uzembe, mwanahabari wetu alipiga simu kituo kikuu cha polisi mkoani hapa ambapo polisi wa pikipiki almaarufu kama tigo walifika na kumchukua daktari huyo kisha kumkimbiza kituoni kumnusuru na kipiga kutoka kwa watu wengine ambao walifika hospitalini hapo kuwaona wagonjwa wao.
Kaimu kamanda wa polisi mkoani hapa, John Laswai alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi baada ya kumnusuru dokta huyo ambaye kwa sasa anadunda mtaani.
Baadhi wanachi waliojaa hospitalini kushuhudia mkasa huo.
Hadi gazeti hili linakwenda mitamboni, mipango ya mazishi ya marehemu ilikuwa ikifanyika nyumbani kwao maeneo ya Mkuyuni mkoani hapa.
Uchunguzi wa Ijumaa Wikienda umebaini kwamba kumekuwa na vifo vingi vinavyosababishwa na madaktari ambao hawana wito wa kazi hiyo hivyo serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii chini ya waziri wake, Dk. Seif Selema Rashid kuchukua hatua juu ya suala hilo.
Daktari akikimbizwa kituo cha polisi ili kuepushwa na kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali.

HII NA ZAIDI YA AIBU, WANASWA WAKILA URODA KWENYE BUSTANI, WAKURUPUKA NA NGUO ZA NDANI MKONONI, SOMA MKASA HUU

katika  hali ya kushangaza watu wawili mwanamke na mwanaume walinaswa katika bustani katika ya mji hapa east afrika, tukio hili lilitokea siku ya ijumaa ambapo paparazi wetu waliweza kupewa tarifa na wasamalia wema ya kuwa katika bustani hiyo kumekuwa kukifanyika vitendo vingi ambavyo si vya kiungwana, bila kupoteza mda waandishi wetu waliamua kutinga eneo hilo na ndipo kufatilia hapa na pale waliweza kuwanasa watu hao wakivunja amri ya sita katika staili ya aina yake ambayo ilikua sio vigumu watu kuwashtukia, mara baada ya kushutuka kuwa wanafatiliwa na waandishi wa habari watu hao walikurupuka huku wakivaa nguo kwa tabu na kuelekea kusikojulikana


 

SENTENSI ALIYOITOA MC WA MTV MAMA INAYOHUSU MAKALIO YA WEMA SEPETU ISOME HAPA

Kama ilivyo kwa tuzo zozote maarufu duniani, mara nyingi ma’MC wa show hizo huwa wanapenda kumwaga maneno mengi sana ya utani, ila hii ni kali zaidi, bila kujijua mwenyewe wakati akiwa anaendelea kutangaza, alitokea kuwaponda watu maarufu duniani, akiwemo Kim Kardashian ambaye anajulikana kama ni mwanamke mwenye umbo zuri zaidi, “I’ve seen beautiful women here with butts that make kimkardashian‘s look like Miley Cyrus.(“nimekuja hapa nimeona wanawake wenye maumbo mazuri, yanavyomfanya Kim Kardashian aonekane kama Myle Cyrus”) – alitamka wazi wazi MC wa tuzo hizo za MTV MAMA.

Watu wenye maumbo kama Wema Sepetu na wanawake wengi wa huko nchini South Africa achilia mbali wageni waaalikwa kutoka nchi mbali mbali za africa, kwa jinsi walivyo umbika kwa asili ya maumbo yao ya ki-africa, yalimfanya hadi MC ambaye ndiye mchekeshaji muigizaji maarufu huko hollywood maarufu kama Marlon Wayans, ashundwe kujizuia na kutamka maneno kama hayo hadharani.

Saturday, June 7, 2014

MWANAUME MMOJA AFUMWA LIVE AKINGONOKA NA WANAWAKE WATATU KISA PESA


 
 
Angalia huyu kijana wa Kinigeria alivyonadharau , anafanya mapenzi na wasichana wakari watatu na kutawanya pesa hovyohovyo kitandani. Anawakunja mmoja mmoja kwa zamu. Jeuri ya pesa bana isikie tu, wasichana nao wamekubaliana na upuuzi huu anaowafanyia huyu mnigria. Jamani pesa ndo kila kitu kweli. 
 
Hebu bonya hapo chini uone picha zingine tulizoziweka kuonyesha upuuzi ya hawa walimwengu kisa pesa

KUMBE YULE ALIYEBAKWA NA MBASHA NI YULE BINTI ALIYEWAHI KUCHEZA MKANDA WA X NA MRISHO NGASA

Baadhi ya picha zinazomwonyesha Mrisho Ngassa akibanjuka na Mrembo huyo katika vedio hiyo inayosambaa kwa kasi sana.

Ngassa na Mkewe siku ya Harusi yao.
Ikiaminika kua ni moja kati ya wachezaji wa Tanzania wenye Nidhamu na uwezo wa hali ya juu wawapo uwanjani lakini pia wanaoonyesha kufika mbali kimataifa zaidi katika fani yao hiyo ya Mpira wa miguu,Mrisho Halfan Ngassa anaingia kwenye Skendo chafu ya kupiga picha/vedio akifanya ngono na binti ambae jina lake halikuweza kufahamika mara moja ndani ya hoteli moja jina linahifadhiwa.
Ngassa Baba wa Familia ,mchezaji wa Simba S.S na Timu ya Taifa.Taifa Stars
.Amekua akiangaliwa na vijana wengi wanaopenda Soccer kama Role Modal wao,Ametia doa sifa hiyo hakika kwani hii inaweza kumkosesha deal za maana tu katika maisha yake ya soka si nchini bali hata kimataifa.Pengine ni kulewa sifa na umaarufu lakini hivi sivyo inavyotakikana kua..Unadhani ni picha gani anayoionyesha achana kwa mashabiki wake ambao tunaweza tukapotezea,vipi kuhusu familia yake watoto wake.Na mzigo ndo ushasambaa mtaani means Picha hizo zitaendelea kuwepo milele na milele..
Ngassa akilitumikia Taifa Uwanjani.
Ngassa hana cha kujitetea katika hili ajitokeze hadharani na Aombe Radhi familia na mashabiki wake wote Nchini!!!Sitaki kuamini kua alikuwa amelewa sababu inaaminika pia hatumii kilevi chochote ,na kama ndivyo basi ni Kesi nyingine tena hiyo.Hivyo alifanya alichokifanya akiwa na akilizake Timamu kabisa.

TUMEAMIA HUKU