Ni aibu sana kwa binti mzuri kama huyu kukosa maadili na
heshima.kufungua akaunti ya facebook na kuamua kila kukicha kupost chafu
na za aibu kwa jamii
Hii ni hatari sana.kwani kueibuka kundi kubwa sana la mabinti kukosa
maadili na kutumia mitandao ya kijamii kuanika tabia zao chafu. Hii ni
akaunti mojawapo iliyogubikwa na vitendo vichafu na picha za aibu kutoka
kwa huyu binti mrembo wa kiafrika