maadili yanazidi kuporomoka hapa bongo mpka kufikia hatua madenti wanavaa wanavyojisikia ikikwemo kuvaa vigauni vifupi, na kama hiyo haitoshi siku hizi mademu wa form 2 sanasana wanapenda kuacha sehemu kubwa ya maziwa yao wazi, nani alaumiwe katika hili sasa? mwalimu au mzazi, au jamii kwa ujumla
-





