Taarifa
kutoka Iringa mwishoni mwa wiki iliyopita zinasema kuwa rapa kutoka
87.8 Mbeya Izzo B amempiga underground ambaye nae ni kutoka hukohuko
Mbeya ambaye walikutana Iringa,Soudy Brown amekuja na taarifa kuhusu hii
inshu.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...