Featured Posts

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Showing posts with label MAJAMBO. Show all posts
Showing posts with label MAJAMBO. Show all posts

Monday, June 16, 2014

YASEMEKANA MBASHA NA MKEWE WANA LAANA YA MAREHEMU ASKOFU KULOLA, WALIMSINGIZIA KUWAIBIA

SAKATA  la  tuhuma  za  ubakaji  zinazomkabili  mume  wa  Flora  Mbasha  sasa  limechukua  sura  mpya  baada  ya  maovu  yao  mengine  kuanikwa  hadharani  na  ndugu  wa  Flora…..

Msichana  mmoja  aliyejitambulisha kwa  jina  la Cathy  ambaye  ni  dada  binamu  wa  Flora  amedai  kuwa  kinachowatafuna  wawili  hao  ni  laana  waliyoipata  kutoka  kwa  babu  wa  Flora, marehemu  baba  Askofu  Moses  Kulola…..

Ndugu  huyo  wa  Flora  amesema  kuwa  wawili  hao  waliwahi  kufikia  nyumbani  kwa  askofu  Kulola  huko  Mwanza,siku  chache  kabla  ya  Kulola  kuaga  dunia  na  kufanya  madudu  mengi  ikiwemo  kuingiza  askari  polisi  kwenye  chumba  cha  Kulola.

Ndugu  huyo  alidai  kuwa  wawili  hao  walifikia  hatua  ya  kuingiza  askari  kwenye  chumba  cha  askofu  Kulola  kwa  madai  ya  kuibiwa   sh.  300,000 ( Laki  tatu )    za  Emmanuel  Mbasha, mume  wa  Flora  huku  wakimwaga  matusi  mazito  kwa  wajukuu  wa  Kulola….

“Walifikia  pale  kwa  babu, yule  Mbasha  akawa  na  pesa  kama  laki  tatu  hivi, akazihifadhi  kwenye   nyumba  ndogo  ya  chini  waliyofikia,nyuma  ya  nyumba  ya  babu, akawa  amesahau  alikoziweka  zile  pesa  basi  wakaanza  kuwatukana  matusi  ya  nguoni  wajukuu  wa  babu  pale  kama  hawana  akili  nzuri, yeye  Mbasha  na  Flora,” alisema  ndugu  huyon wa  Flora.

Akaendelea  kudai  kuwa  walipoona  hakuna  ushirikiano  kwa  wajukuu  wa  babu  wakaamua  kuita  polisi  waliofika  pale  nyumbani  na  kuanza  kufanya  upekuzi  wa  nguvu  kwenye  kila  kona  ya  nyumba    ya  baba  Askofu….

“Walipoona hawajafanikiwa kuzipata  akaamua  kuwaingiza  polisi  mpaka  chumbani  kwa  babu,  na  babu  alikuwa  hayupo  nyumbani, alikuwa  kanisani, sasa  aliporudi  ndipo  alikuta  askari  chumbani  kwake  wakifanya  upekuzi. Babu  alikasirika  sana  na  kujikuta  akimwaga  machozi,” alisema  Cathy

Akaendelea  kudai  kuwa  babu  alishangaa  sana  kufikia  hatua  ya  wawili  hao( Flora  na  mumewe)   kutomwamini  hata  yeye  mpaka  kuingiza  askari  ndani  ya  chumba  anacholala  lakini  wawili  hao  walimpuzaa  hata  baba  Askofu  huyo….

“Babu  aliwalaani  wale  na  aliwaambia  kuwa  siku  si  nyingi  maovu   na  uchafu  wao  utajulikana  kwenye  jamii  huko  Dar  wanakowaibia  watu  kwa  kujifanya  wameokoka  wakati  siyo  kweli  na  wanatapeli  watu  kila  siku,akasema  wataishia  pabaya  muda  si  mrefu,” alisema  Cathy.

Akaendelea  kudai  kuwa  Flora  na  mumewe  hawakuwahi  kuomba  radhi  kwa  babu  yao  Askofu  Kulola  mpaka  alipofariki, na  mpaka  leo  hii  laana  yake  bado  inaawatafuna  sana  na  haya  yanayoendelea  ni  matokeo  ya  laana  hiyo.

Monday, June 9, 2014

BAADA YA KUONA SHEPU YAKE INAPOTEA HIKI NDICHO ALICHOKIFANYA SHILOLE JUU YA MWILI WAKE

shilole

Kama ulidhani shepu inakuja tu kwa maombi jipange, ukweli muulizeni shilole kwa uamuzi wwake huu, hivi sasa kaamua kufikia uamuzi wa kuingia Gym kujifua ili aweze kurudisha sexy body yake ileee, hii ni baada ya kuanza kujiona haridhiki na hali yake ya hivi sasa kimuonekano.Watu wengi walikuwa wameshaanza kuponda, nakusema eti shilole amejiachia hasa pale anapoonekana akiwa kwenye show zake mbalimbali, hii sasa ameamua kupunguza maneno ya watu na kuamua kufanyia kazi, na hivi ndivyo anavyofanya yake.
fbfb
Na vilio juu



Sunday, June 8, 2014

MMH SASA MAKAHABA WAVUA NGUO NA KUPIGANIA MTEJA BAR, MABIKI NA TAIT NJE NJE TU, TAZAMA HAPA



LOL hali si nzri kabisa kwa wadada hawa wanao semekana makahaba waamua kpigana vilivyo kisakjinyakulia pedeshee lenye mahela lol sasa jamani kama jamaa hajazimika kwann mpigane?? hapa kazi ipo lol!

MWANACHUO HUYU AJIUZA KWENYE MITANDAO WA JAMII BILA WOGA ......CHEKI PROFILE YAKE HAPA


Anaitwa Khadija wa TPSC Mtwara kama kuna uwezekano naomba upost hii maana natafuta wa kuweza kunifikisha kileleni aliye tayari akilike namtumia namba yangu

BONGO MOVIE SHAMSA FORD AZUNGUMZIA PICHA ZAKE ZINAZOMUONYESHA AKILA TUNDA NA MBUNGE

Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa kitandani kwenye mahaba mazito. 

  
Shamsa Ford.
Shamsa ana umbo la kawaida ki-shape lakini msichana huyo anaonekana kuwa na umbo namba nane.

 
Jana baada ya kuona picha hizo ambazo zimesambaa  hasa kwenye kurasa za kisiasa kwenye mitandao ya kijamii zikimuandama mbunge huyo wa Chadema, mwandishi wetu alimtafuta Shamsa na kumueleza kila kitu na kwa kujiamini Shamsa alisema picha  hizo sio zake, zimetengenezwa na pia msichana anayeonekana kiumbo wako tofauti na hata sura na akasema anajiheshimu sana na ana familia yake asingeweza kufanya jambo kama hilo...
  
 Moja ya picha hizo tukiwa tumeikata kwa sababu za kimaadili

Alipoulizwa  kama anafahamiana na Mh. Salvatory Machemli pia alikana kujuana naye achilia mbali kuwahi kukutana naye.

 
"Zimedaiwa kuwa ni mimi but sio mimi, naomba uangalie hizo picha vizuri au kama upo WhatsApp nikutumie halafu uone je ni mimi, kabla sijakujibu" Alisema Shamsana  na  kuongeza;

"Si umbo tu,  hata sura ni tofauti, sijawahi hata kumuona huyo mheshimiwa, nahisi ni watu ambao wananichukia wanataka kunichafua, kiukweli nawaomba mashabiki wangu kabla ya kuanza kunihukumu waziangalie kwanza hizo picha vizuri, mimi nina familia na najiheshimu".

  
Kwa upande mwingine baadhi ya wachangiaji mitandaoni wamedai kuwa picha hizo ni za kutengenezwa kwa sababu Mh.Machemli ana kitambi lakini katika picha hizo hazimuonyeshi akiwa na kitambi, wengine wamesema kuwa picha hizo zimechukuliwa katika mtandao mmoja wa ng9no na kufanyiwa photoshop lengo lake likiwa ni kumchafua kisiasa mbunge huyo ambaye anadaiwa kukumbwa na misukosuko ya mara kwa mara.

SENTENSI ALIYOITOA MC WA MTV MAMA INAYOHUSU MAKALIO YA WEMA SEPETU ISOME HAPA

Kama ilivyo kwa tuzo zozote maarufu duniani, mara nyingi ma’MC wa show hizo huwa wanapenda kumwaga maneno mengi sana ya utani, ila hii ni kali zaidi, bila kujijua mwenyewe wakati akiwa anaendelea kutangaza, alitokea kuwaponda watu maarufu duniani, akiwemo Kim Kardashian ambaye anajulikana kama ni mwanamke mwenye umbo zuri zaidi, “I’ve seen beautiful women here with butts that make kimkardashian‘s look like Miley Cyrus.(“nimekuja hapa nimeona wanawake wenye maumbo mazuri, yanavyomfanya Kim Kardashian aonekane kama Myle Cyrus”) – alitamka wazi wazi MC wa tuzo hizo za MTV MAMA.

Watu wenye maumbo kama Wema Sepetu na wanawake wengi wa huko nchini South Africa achilia mbali wageni waaalikwa kutoka nchi mbali mbali za africa, kwa jinsi walivyo umbika kwa asili ya maumbo yao ya ki-africa, yalimfanya hadi MC ambaye ndiye mchekeshaji muigizaji maarufu huko hollywood maarufu kama Marlon Wayans, ashundwe kujizuia na kutamka maneno kama hayo hadharani.

Saturday, June 7, 2014

HIVI VICHENI PATI BALAA TAZAMA PICHA HUYU DADA ALIVYOVAA KILAANA

MWANAUME MMOJA AFUMWA LIVE AKINGONOKA NA WANAWAKE WATATU KISA PESA


 
 
Angalia huyu kijana wa Kinigeria alivyonadharau , anafanya mapenzi na wasichana wakari watatu na kutawanya pesa hovyohovyo kitandani. Anawakunja mmoja mmoja kwa zamu. Jeuri ya pesa bana isikie tu, wasichana nao wamekubaliana na upuuzi huu anaowafanyia huyu mnigria. Jamani pesa ndo kila kitu kweli. 
 
Hebu bonya hapo chini uone picha zingine tulizoziweka kuonyesha upuuzi ya hawa walimwengu kisa pesa

TAZAMA MAPICHA DIAMOND NA DAVIDO WAKIJIANDAA JINSI WATAKAVYOPIGA SHOW USIKU HUU MTV BASE

Siku ya Kesho Diamond Platnumz na Davido watalishambulia jukwaa kutumbuiza nyimbo ya my number one remix . Tayari wameanza maandalizi ya performance hiyo na hizi ni baadhi za picha za maandalizi hayo.. 



TUMEAMIA HUKU