Featured Posts

Tuesday, July 15, 2014

TAZAMA MOTO ULIVYOTEKETEZA DUKA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM

Kuna Duka linaungua na moto mda huu eneo la mwanayamala karibu na kituo cha hospitali,chanzo cha moto huo bado hakijafahamika,

Tutakuletea Tukio kamili na picha hapa hapa!! usitoke paparazi huru

TUMEAMIA HUKU