Soma hapa uelewe mambo ambayo mwanamke anawaza anapopishana na mwanaume
- Kwanza hutazama tembea yako,kisela au kiheshima ili ajue kama una kazi au laa
- Kama nguo zako zimefubaa basi unatembea juani na kama nguo zimejikunja basi hata pasi huna
- Nakama viatu vina vumbi basi moja kwa moja inaonyesha gari huna
- Kama pesa hutoi kwenye waleti basi hujazoea kuwa na pesa na hata lakimoja hujawahi kuwa nayo
- Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hata hug au romance hujawhi pata kokote
- Kama nywele huja chana inaonekana hujitunzi na hata zake hutoweza kugaramia
- Ukiongea nae mda mrefu na maswali mengi basi una mtaka ila huelewi uanzaje kidume
- Ukimshika au ukimgusa popote basi unamtaka kimwili
- Kama nguo zako mkanda wa suruali na viatu havi machi basi pia moja kwa moja hujielewi na hujawahi kuwa na mwanamke
- Usipomtazama machoni hujiamini na inaonekana muongo