Ukitaka kujua kwamba Diamond na Wema Sepetu wametoka mballi na sababu ya kutokuachana kwako hadi leo utaipata hapa kupitia pichahii itaweza kukuonyesha kuwa Diamond Platnumz na Wema Sepetu wametoka mbali na kumbe hata Baba Mzazi wa Diamond Platnumz anajua mkwe wake.
Leo nimefanikiwa kuipata picha hii ya ambayo inamuonyesha Super Star Diamond Platnumz akiwa na Baba yake mzazi na picha nyingine inamuonyesha Wema Sepetu akiwa na Diamond Paltnumz pamoja na Ommy Dimpoz.