Featured Posts

Thursday, May 15, 2014

AUNT EZEKIEL AELEZA JINSI MAREHEMU KANUMBA ALIVYOKUWA BALAA KWENYE MAPENZI ANGALIPA HAPA ALICHOSEMA MSANII HUYO..!

Habar na Xdeejayz Tanzania
Msanii Aunt Ezekiel ameibuka na kusema kuwa kipaji cha marehemu Kanumba si kwenye filamu peke yake bali alikuwa balaa hata kwenye mapenzi.
Akizungumza na mtandao mmoja wa nchini Kenya ambao ulitaka msanii huyo kuelezea baadhi ya picha zake na Marehemu ambazo zinaashiria kama walikuwa ni zaidi ya  kazi ambapo msanii huyo alisema" Unajua Marehemu Kanumba alikuwa na vipaji vingi sana hata kwenye mapenzi alikuwa balaa ingawa sikuwahi kutembea nae isipokuwa nilikuwa nakabiliwa na wakati mgumu kipindi nikiigiza nae kwenye sini za mapenzi cha moto nilikuwa nakiona" Alisema msanii huyo
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

TUMEAMIA HUKU