Wanaume wengi ambao wamefanyiwa mahojiano huko namibia na africa kwa ujumla juu ya dzain gani ya nywele kwa wanawake wengi wametaja nywele ndefu japo hata kama ni bandialakini wamekili ya kwamba uwapa msisimko sana wa kimapenzi, wengi walioojiwa wametaja mtindo wa dread kwa wanaupendelea sana mademu zao wakitengeneza, kazi kwako wewe dada jaribu mtindo huu uone mpenzi wako atakwambia vipi
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...