Featured Posts

Thursday, July 17, 2014

PICHA YA UPAJA WA IRENE UWOYA WACHANGANYA WATU HUKO INSTAGRAM...AMEJIPIGA MWENYEWE NA KUSEMA AMEJISIKIA KUFANYA

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mwananadada Irene Uwoya..ameshangaza wengi na kufanya Vidume wengi huko Instagram..Baada ya kuwekapicha ya Inayoonyesha Upaja wake kwa karibu zaidi...na kuandika "Nimejiskia tuuu kuweka hiii pcha"


TUMEAMIA HUKU