Featured Posts

Wednesday, July 16, 2014

TAZAMA HOT PICHA ZA MPENZI WA CHRIS BROWN WAKIWA WANAKATA MITAA NA BWANA WAKE

huyu kwa sasa (Karrueche) ndio mpenzi wa msanii chriss brown ambaye ni modo pia ni mtangazaji wa evnts mbalimbali , ambapo 

hivi karibuni amekiri na kudai kuwa anajihisi kama bado anashindana na rihana amabaye alikua na chris brown tangu mwaka 2005 mpaka 2009, kabla ya kuachana baa


da ya chris kumshushia kipigo kikali,  hizi ni baadhi ya picha wakionekana pamoja na staa huyo

TUMEAMIA HUKU