Featured Posts

Wednesday, September 17, 2014

MPYA HII: PICHA TATU KALI ZINAZOONYESHA KUWA BEYONCE NI MJAMZITO KWA MARAYA PILI

Tetesi za Beyonce kuwa mjamzito zimeendelea kusisitizwa hivi karibuni huku watu wake wa karibu wakieleza kuwa ameanza kufanya matendo kama aliyokuwa anafanya wakati ana ujauzito wa Blue Ivy.
Wikendi iliyopita, Beyonce alichochea tetesi hizo alipotembelea jumba la makumbusho ya kihistoria huko Ufaransa ambapo alikuwa ameshikilia tumbo lake kwa muda, huku likionekana kama limevimba kwa mbali.

TUMEAMIA HUKU