Featured Posts

Monday, September 22, 2014

UMEWAHI KUKUTANA NA MWANAMKE MNENE KULIKO WOTE, MCHEKI MAPICHA HAPA

CHEKI MAMBO HAYO!!! …HUYU NI MWANAMKE MWINGINE ANAYEJUMUIKA KWENYE LIST YA WATU WACHACHE WENYE MAUMBILE ADIMU DUNIANI

ANAITWA Sarah Massey mama wa watoto wawili mkazi wa Chicago nchini Marekani, amejitokeza kama mwanamke mwenye umbo kubwa zaidi sehemu ya makalio.
Record-breaking rear: Sarah Massey shows off her seven foot wide posterior while cooking at home
Sarah ambaye amewahi kuvunja choo mara tu baada ya kukikalia, ana mzunguko wa futi 7 ambapo mara kadhaa amekuwa akipata shida kupita mlangoni.
Hata hivyo mwanamama huyu mwenye umri wa miaka 33 anasema  anajivunia kuwa mmoja wa wanawake wenye ‘figa’ la kufa mtu hapa ulimwenguni.
Problems: But the mother-of-two admits she suffers from limited mobility caused by her vast posterior 
Older: Sarah says her bottom attracts men years older than her, including Albert (left), the father of her sons

TUMEAMIA HUKU