Featured Posts

Wednesday, September 24, 2014

DAH MASKINI NUHU MZIWANDA HANA CHAKE TENA, SERENGETI BOY MWINGINE AMUOPOA SHISHI BABY SHILOLE,

Baada ya kutokuwa na maelewano mazuri kati ya nuhu mziwanda na mpeni wake shilole hivi sasa tetesi zimeibuka upya kwamba wawili hao hawako pamoja tena , hii imefatia kuzagaa kwa picha ambayo shilole amepiga akiwa na njemba mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja,





TUMEAMIA HUKU